Habari

Waziri Majaliwa aitaka TAKUKURU kumtia mbaroni bosi wa Mamlaka ya Maji Musoma

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameiagiza TAKUKURU Mkoa wa Mara kumkamata na kumuhoji Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Musoma (MUHASA), Mhandisi Gantala Said kwa tuhuma za uharibifu wa fedha za mradi wa maji Wilaya ya Bunda.

Soma taarifa hiyo hapa chini:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents