Tia Kitu. Pata Vituuz!

Waziri Mkuu Majaliwa atangaza wagonjwa wa Corona waongezeka Tanzania (Video)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza ongezeko la wagonjwa wawili wa virusi vya corona Tanzania na kufikia watatu “Mjerumani wa Zanzibar ana miaka 24 na Mmarekani ana umri wa miaka 61 yupo Dar es salaam wagonjwa wote Hawa wapo nchi ya uangalizi maalum”

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW