Shinda na SIM Account

Waziri Mkuu wa Thailand Yingluck Shinawatra ndio kiongozi wa juu mrembo zaidi duniani?

Ukikutana na Yingluck Shinawatra unaweza ukadhani ni wale waigizaji warembo tuwaonao kwenye filamu za Kichina. Ukija kugundua kuwa sio muigizaji bali ni waziri mkuu wa Thailand, basi huenda wasiwasi wa kuongea naye unaweza kuwa mkubwa zaidi kutokana na urembo wake.

icF_WyPfUqhg

Ni mrembo haswaaa, aliyepambika haswaaa. Mwanamke huyu kapewa vyote na Mungu. Ni mrembo, msomi, tajiri na kubwa zaidi ni Waziri Mkuu.

9153ri-Yingluck_Shinawatra

Yingluck Shinawatra aliyepo nchini Tanzania kwa ziara ya siku tatu 21 June 1967.Kama utaona shida sana kulitamka jina lake, basi muite Pu, ambalo ni jina lake la utani.Ni waziri mkuu wa kwanza wa kike na wa 28 kuiongoza nchi hiyo ya bara la Asia.

9169ri-Yingluck_Shinawatra

Akiwa na miaka 45 tu, kiongozi huyo mrembo amekuwa waziri mkuu kijana zaidi wan chi hiyo katika miaka 60 iliyopita.Pia ni mdogo wake na waziri mkuu wa zamani wan chi hiyo, Thaksin Shinawatra.

media-center_other-20120911-154023-1

Akizaliwa kwenye familia ya kitajiri, mboga saba na mavibwaga yose, Yingluck alipata shahada yake ya kwanza kwenye chuo kikuu cha Chiang Mai na shahada ya uzamili kwenye chuo kikuu cha Kentucky akisomea public administration.

nb20120308a3a

June 30 mwaka huu waziri huyu alilivunja baraza la mawaziri na nchi hiyo na yeye mwenye kuchukua nafasi ya waziri wa ulinzi hadi sasa.

Yingluck Shinawatra, Wang Yi

Waziri Mkuu huyo aliolewa mwaka 1995 na Anusorn Amornchat na wana mtoto mmoja wa kiume.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW