BurudaniHabari

Zamu Yangu!!

Mmiliki wa Baucha Records na ndo Baucha mwenyewe huyoHiyo ni talent show nyengine jijini ambayo imeandaliwa mahususi kwa ajili ya kusaka vipaji vya wasanii wa muziki wa kizazi kipya.

Mmiliki wa Baucha Records na ndo Baucha mwenyewe huyo

 

Hiyo ni talent show nyengine jijini ambayo imeandaliwa mahususi kwa ajili ya kusaka vipaji vya wasanii wa muziki wa kizazi kipya.

 

Talent show hiyo imeandaliwa na Baucha Recods ambao wanamiliki studio za kurekodi muziki wa kizazi kipya.

 

Msako huo wa vipaji umefanywa mahsusi ili kuweza kumuwezesha mshindi kuwezeshwa kurekodi track katika studio hiyo na kutoka.

 

Ndo maana hiyo imepewa jina la Zamu yangu….madogo wenye vipaji ibukeni Coco hamuwezi jua labda yaweza kuwa zamu yenu sasa.

 

Itasindikiswa na wasanii maarufu kama Rado na Snaa Lee ambao wako chini ya lebo ya Studio hiyo.

 

Nani anajua labda waweza kuwa Jumanne Idi mwengine ndani ya mwaka huu, si mwajua kutesa kwa zamu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents