Burudani
Video: ‘In My Shoes’ ya Wema Sepetu msimu wa 2 – Mapokezi ya Diamond (episode 1)
Msimu wa pili wa reality show ya nyota wa filamu Tanzania Wema Sepetu, ‘In My Shoes’ ambayo huruka kila Ijumaa kupitia EATV tayari umeshaanza. Tazama sehemu ya kwanza Kama hukupata nafasi ya kushuhudia kwenye runinga.