Burudani
Picha: Miley Cyrus ‘apozi’ utupu kwenye jarida la Paper (18+)
Miley Cyrus si msichana anayeogopa kuishi kwa vile wengine wanavyopenda aishi. Na ndio maana ameamua kuuonesha wazi mwili wake kwenye jarida la Paper.
Kwenye jarida hilo, Miley amezungumzia mambo mengi ikiwa pamoja na kuwahi kujihusisha mapenzi ya jinsia moja.