Burudani
Picha: Christian Bella awashirikisha Weusi, Nahreel kutayarisha ngoma
Christian Bella ameamua kujichanganya kwenye muziki wa hip hop kwa kuwashirikisha Wuesi kwenye ngoma mpya.
Bella ameingia kwenye studio za The Industry ya Nahreel kurekodi wimbo na Joh Makini na G-Nako.
“Kazi imeisha Leo na Weusi, ratiba ni mwishoni October tunaachia Nagharamia na Alikiba na mwishoni November nakuja na Joh Makini, G.Nako nA Nahreel,” ameandika kwenye Instagram.