![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2016/10/14727601_170798956706307_1053333376359989248_n.jpg)
Baada ya kukaa kimya kwa miezi kadhaa, muongozaji wa video wa Arusha, Nisher amerejea tena kazini na awamu hii akiwa na camera mpya aliyoinunua kwa $15,000. Ili kuhakikisha kuwa anatoa video zenye kiwango zaidi, amekuwa akiijaribu kamera hiyo kwa kufanya series fupi aliyoipa jina Alex. Hizi ni sehemu za series hiyo.
https://www.youtube.com/watch?v=a90TX6egR7o
https://www.youtube.com/watch?v=EkLvSaZjYd0