Michezo John Bocco alamba milioni 1/- ya kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara August 2016 Fredrick BundalaOctober 17, 2016 - 11:19 am Less than a minute Facebook X WhatsApp Telegram Viber Share via Email Mshambuliaji wa timu ya Azam FC,John Bocco(kushoto)akipokea hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 1/- Kwa kuwa mchezaji bora wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara Mwezi August,toka kwa Mkuu wa kitengo cha Uhuasiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Jacquiline Materu(kulia)kabla ya mchezo kuanza wa timu yake na Yanga hapo jana katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.Katikati ni Mkurugenzi wa bodi ya ligi,Boniface Wambura Fredrick BundalaOctober 17, 2016 - 11:19 am Less than a minute Facebook X WhatsApp Telegram Viber Share via Email