Michezo

Cesc Fabregas na mpenzi wake, Daniella wanatarajia kupata mtoto wao wa 3

Mchezaji wa klabu ya Chelsea, Cesc Fabregas na mpenzi wake, Daniella Semaan ambao wamejaaliwa kupata watoto wawili ambao wote ni wakike, Lia (amezaliwa 2013) na Capri (amezaliwa 2015).

fabregas

Kupitia account zake za Twitter na instagram, Fabregas amethibitisha kuwa wanataraji kupata mtoto wao wa 3, safari hii atakuwa wa kiume.

cesc-fabregas-family

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents