Michezo
Paul Clement atangazwa rasmi kuwa kocha wa Swansea
Klabu ya soka ya Swansea City imemtangaza rasmi Paul Clement kuwa ndio kocha wao mpya wamempa mkataba wa miaka miwili na nusu.
Paul Clement ambaye alikuwa kocha msaidizi wa klabu ya FC Bayern ya Ujeruamni, Mechi yake ya kwanza akiwa kama kocha mkuu wa klabu hiyo ilikuwa dhidi ya Crystal Palace ambapo alipata ushindi wa 2-1.