Habari
Rais Magufuli awahakikishia jambo hili wawekezaji
Rais wa Jamhuri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amezindua kiwanda kikubwa mjini Morogoro na kuwahakikishia wawekezaji mazingira mazuri zaidi ya biashara.