Michezo
Kikosi cha Mbeya City kitakacho shuka dimbani dhidi ya Simba SC hiki hapa
Klabu ya Mbeya City imetangaza kikosi chake kitakachoshuka kwenye dimba la uwanja wa Taifa hii leo kuwakabili wenyeji wao Simba SC kwenye mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara.
Wachezaji watakao pata nafasi ya kuanza kwenye mchezo huo kwa upande wa kikosi cha Mbeya City ni,
Owen Chaima, Rajabu Isihaka, Majaliwa Shabani, Ally Lundenga, Ramadhan Malima, Haruna Shamte, Eliud Ambukile, Danny Jodarn, Victor Hangaya, Babu Ally, Frank Ikobelo.
Huku wachezaji wa akiba wa Mbeya City ni, Fikirini Bakari, Kenny Kunambi, Hamidu Mohamed, Mohamed Samatta, George Mpole, Godifrey Muller, Medson Mkwatundu.