Burudani
Fid Q ateuliwa na Chama cha Muziki wa Kizazi Kipya Tanzania (TUMA)
![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2018/04/22860917_293317834487574_7227400777629696000_n.jpg)
Msanii wa muziki wa Hip Hop Bongo, Fid Q ameteuliwa na Chama cha Muziki wa Kizazi Kipya Tanzania (TUMA) kuwa mwenyekiti wa kamati ya fedha, mipango na uchumi.
Baada ya uteuzi huo Fid Q amesema; ‘Ni matumaini yangu tutaenda mkono kwa mkono kama majukumu na fursa,”.