Habari
TMA yatoa utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo
![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2018/04/MVUA.jpg)
Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA), imewatahadharisha wananchi na wadau wa hali ya hewa uwepo wa vipindi vifupi vya mvua kubwa katika maeneo mbalimbali hapa nchini.
Soma taarifa kamili;