Mitindo
Jadore wapewa jukumu la kuwaremba warembo wa Miss Tanzania (Video)
Warembo Miss Tanzania ametembelea duka la Jadore Hair & Beauty la mjasiriamali, Mama Jadore ambaye amedhamini mashandano hayo kwa upande wa nywele na make up.