Habari
Kesi ya Kabendera kusomwa tena Februari 10
Kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili mwandishi wa habari za kiuchunguzi, Erick Kabendera imeahirishwa hadi Februari 10, baada ya upande wa Jamhuri kudai kuwa upelelezi bado haujakamilika
Wakili wa Jamhuri Gloria Mwenda alidai kuwa mchakato wa mshitakiwa huyo anayedaiwa pia kutakatisha zaidi ya Tsh.Milioni 173,kukiri makosa yake kwa DPP bado unaendelea
Na Jacquiline Ngoya