Siasa
Shuhudia mtia nia akiongea Kichina wakati akijinadi (+Video)
![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2020/07/Screen-Shot-2020-07-21-at-11.43.08.png)
Mmoja ya mtia nia katika jimbo la Kawe alivyoongea Kichina wakati anajinadi na kuwashawishi wajumbe ili apigiwe kura.
Hilo karatasi aliloshikilia linaashiria namba ya mgombea ambayo ni 75.
https://www.instagram.com/p/CC5c2hpBF4m/