Mahakama kuu Kanda ya Manyara mbele ya Mheshimiwa Jaji Devotha Kamuzora imetupilia mbali Rufaa iliyokatwa na Hashim Ally dhidi ya Mbunge wa Jimbo la Babati mjini Paulina Gekul.
Kuangalia Video kamili Bonyeza Link hapo chini:
https://www.instagram.com/reel/C5z3nHaNNnS/
CC:walterhabari
Imeandikwa na Mbanga B.