Siasa
Rais Magufuli atangaza rasmi kuwa siku ya uchaguzi mkuu Octoba, ambayo itakuwa jumatatu itakuwa mapumziko (+Video)
“Kampeni za Uchaguzi zitafunguliwa August 26 hadi 27 October, 2020, na uchaguzi utafanyika October 28,2020 itakuwa Jumatano, kwahiyo siku ya Uchaguzi itakuwa ni ya mapumziko tutaitangaza rasmi”