Habari
Mwigulu:Wataalam wetu waangalie kipengele kinachohusu National Payment System (+ Video)
Tumeshawaelekeza wataalam wetu waangalie kipengele kinachozungumzia masuala ya National Payment System ambayo inaongelea masuala ya miamala na Electronic and Postal Communication, Timu za wataalam pamoja na sisi tutaendelea kuyafanyia kazi.”