Mbunge wa Nzega (CCM) @hamisi_kigwangalla ameitaka serikali kuendelea na mchakato wake wa kuufufua uchumi wa Tanzania kupitia bajeti mpya iliyosomwa Bungeni na Waziri wa Fedha Mhe @mwigulunchemba .
Amesema serikali isiwasikilize watu ambao hawaitakii mema Watanzania.