SiasaVideos

Kigwangalla aja na ‘Samianomics’ za Rais Samia

Mbunge wa Nzega (CCM) Mh @hamisi_kigwangalla ametoa mchango wake katika bunge la bajeti kuu ya serikali 2021/22.

Amempongeza Waziri wa fedha kwa kuja na bajeti ambayo inakwnda kukata shauku ya Rais Samia ya kukomboa uchumi wa Tanzania.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents