Video iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ya wimbo wa Madee ‘Sio Mimi’ hatimaye imetoka. Ni video kali lakini ina tatizo moja. Ingia ndani kuona ni lipi.
http://www.youtube.com/watch?v=oI5yWnS-eKU&feature=youtu.be
Ndani ya video hiyo kuna sehemu inayoonesha wasichana wakinyonyana ndimi na hivyo kuchochea masuala ya usagaji. Sehemu hiyo inaweza kuchangia video hii kupigwa vita.