Burudani

AKA adai hajawahi kusikiliza diss track ya Cassper Nyovest ‘Dust 2 Dust’ iliyomlenga yeye

Wakati rapper Cassper Nyovest anakula bata Zanzibar na mpenzi wake , rapper AKA ameiamsha tena beef yao ambayo ilikuwa imemezwa na historia aliyoiweka Cassper ya kujaza ukumbi wa watu elfu 20 mwenyewe hadi kupongezwa na Rais Jacob Zuma siku chache zilizopita.

Cassper-Nyovest-and-AKA

AKA ametweet na kusema kuwa hajawahi kusikiliza wimbo wa Cassper aliomdiss unaoitwa ‘Dust 2 Dust’.

Kwenye moja ya Tweet hizo AKA ameandika “kwanini nijidanganye kusikiliza wimbo uliojaa uongo kuhusu mimi?” (hapa sijui amejuaje umejaa uongo kama hajasikiliza!)

Jionee mwenyewe tweet za AKA:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents