Album mpya ya Kanye West yasababisha watumiaji wa mtandao wa Tidal kuongezeka maradufu

Jay Z anapaswa kumshukuru Kanye West sababu ameisaidia Tidal kuipa kick ya muhimu.

Kanye-West-performs-onstage-at-the-2015-iHeartRadio-Music-Festival-2015-billboard-650

Album mpya ya Kanye, The Life of Pablo, imeufanya mtandao wa Tidal upande kwenye chati. Kwa mujibu wa TMZ, TLOP imesikilizwa kwa zaidi ya mara milioni 100 tangu itoke wiki mbili zilizopita.

Sio hivyo tu, album hiyo imesababisha watumiaji wa mtandao huo kuongezeka kutoka milioni 1 hadi milioni 2.5.

Hii inaweza kuongeza mapato ya ziada ya dola milioni 15.

Related Articles

Back to top button