Burudani

Album ya Alikiba inauzwa kiholela mtaani, Cosota watoa tamko

Baada ya kuonekana album ya @officialalikiba THE ONLY ONE KING inauzwa kiholela mtaani na wale wanao bun CD pamoja na Flash kitu ambacho ni kinyume na sheria pia kutokuwepo makubaliano kati ya muhusika wa maudhui ambaye ni @officialalikiba pamoja na wauza CD pamoja na flash mtaani.

Siku ya jana wasimamizi wa kazi za wasanii @cosotatanzania wametoa tamko kwa wote wanaofanya hivyo mtaani kuwa kitendo hicho ni kinyume na sheria na adhabu yake ni faini ya mil. 20 au kifungo cha miaka mitatu mpaka mitano jela au vyote kwa pamoja.

Hivyo wamewatahadharisha kuwa wakiwa wanaendelea na taratibu za kuwafuatilia wauzaji wanatakiwa waache mara moja. (Swippe kusoma barua ya Cosota.)

Related Articles

Back to top button