BurudaniHabari

Alikiba aachia nyimbo mbili kwa wakati mmoja, Tile na Asali

Msanii wa muziki wa Bongo Flebva Alikiba ameachia Playlist yenye nyimbo mbili ambazo ni Tile pamoja na Asali.

Tangu juzi alitangaza kuachi nyimbo ila hakuweka wazi ataachia nyimbo gani na ngoma zote zipo kwenye akaunti yake ya YouTube ya Alikiba.

Related Articles

Back to top button