Burudani

Alikiba amjibu Manara baada ya kusema lazima waperfom jukwaa moja na Diamond siku ya harusi yake “Atakuwa aliongea akiwa hajielewi” – Video

Alikiba amjibu Manara baada ya kusema lazima waperfom jukwaa moja na Diamond siku ya harusi yake "Atakuwa aliongea akiwa hajielewi" - Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Alikiba ametoa majibu kuhusu kauli iliyotolewa na msemaji wa klabu ya Simba Haji Sunday Manara kuwa aiku ya harusi yake lazima Alikiba na Diamond Platnumz waperform jukwaa moja yaani mmoja akiimba anashuka na mwingine anapanda kuimba.

Majibu ya kauli hiyo yametolewa na Alikiba katika moja ya Interview aliyofanya na kituo cha East Afric Redio alipoulizwa kuwa kauli hiyo anaizungumziaje na kusema “Atakuwa aliongea akiwa hajielewi” Alikiba aliongeza k” Kwa kuwa ni harusi ya dini basi iende kidini dini lakini pia yule ni mwalimu wangu wa madrasa kwahiyo alete madufu pale watu wapige madufu hata mimi mwenyewe ntapiga dufu”

https://www.youtube.com/watch?v=7_yrHD6x53E

https://www.youtube.com/watch?v=oTtx0UPiL94

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents