Burudani

Alikiba azungumzia vitu vitatu vinavyomvutia kutoka kwa mwanamke (Video)

Msanii wa muziki @officialalikiba wiki hii amefanya mahojiano na Mseto East Africa ya nchini Kenya ambayo inaendeshwa na mtangazaji mahiri @mzaziwillytuva ambapo alifunguka mambo mbalimbali hukusu maisha yake binafsi pamoja na muziki.

 

Muimbaji huyo alifunguka kuzungumzia vitu vitatu ambavyo anavikubali kutoka kwa mwanamke mke ili aweze kumuoa.

Kuangalia full interviews tembelea YouTube ya Mseto East Africa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents