Bongo5 ExclusivesBurudaniFahamuHabari

Alma ala shavu la umeneja OnerPM

@Onerpm @onerpmafrc yaongeza ofisi Zaidi AFRICA; @Almah_Bronxi akila shavu la Umeneja kwa Ukanda wa Tanzania.

Mbali na Tanzania, #ONErpm waendelea kupanua wigo kwa nchi kama South Africa ikiongozwa na @georgeavakian, Nairobi Kenya ikiongozwa na #BilhaNgaruiya pamoja na @thisis_Mutuma kitengo cha masoko, Ghana ikiongozwa na @delaa.li na Abidjan ikiongozwa na @AfiCakpo kama kiongozi wa ukanda wa nchi za kifaransa.


Jopo hili lote likiongozwa na @iamtheOsagie wa nchini Nigeria, akiwa kama director wa utelekelezaji kwa nchi za Africa.
Tayari ONErpm imeshawasainisha baadhi ya wasanii kutoka nchini Tanzania wakiwemo, @gnakowarawara, @mabantugram @bgway_gwayne @tundamantz @kayumbaasosie Na kwenye upande wa injili @MalkiaRoseMuhando @zabronsingers @anisetbutati na wengine wengi

Mpaka sasa Onerpm inaendeshwa ndani ya miji ishirini na tisa (29) za nchi ishirini (20) duniani

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents