Burudani

Angelina Ngalula achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa EABC, Rostam Aziz ampongeza

Katika halfla hiyo iliyoandaliwa na TANZANIA PRIVATE SECTOR FOUNDATION (TPSF), Angelina Ngalula amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa EAST AFRICA BUSINESS COUNCIL (EABC)

Katika hafla hiyo iliyofanyika usiku wa kuamkia leo ilihudhuriwa na wadau mbalimbali akiwemo bilione Rostam Aziz.

Akiongea kama kutoa pongezi zake Rostam Aziz alisema kuwa “Nafurahi sana kuona dada yangu Angelina Ngalula anapata nafasi hii ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa EABC, Mwanamke ambaye ni mchapa kazi, mafanikio yake ndio mafanikio yetu, nina furaha kubwa sana na nampongeza sana. Asanteni”

 

 

Related Articles

Back to top button