Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Anjellah amekosea kumponda Harmonize??

Kupitia kwenye kipindi cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia sauti zilizosambaa zinazodaiwa kuwa za #Anjellah.

@el_mando_tz anasema kuwa kama kweli sauti zile ni za #Anjellah asingetakiwa kumuongelea vibaya #Harmonize.

@el_mando_tz anasema kwa namna #Harmonize alivyompigania #Anjellah hata kupitia collabo alizompa zilivyomtambulisha hata kama ameondoka Konde Gang bado ana sababu za kumshukuru Harmonize.

@el_mando_tz anasema kuwa Kupitia muziki wa #Anjellah sio kwamba unalipa kihivyo ila kuna namna #Harmonize anamsaidia kimuziki kitu ambacho huenda #Anjellah angetumia miaka mingi kufikia level aliyonayo sasa.

Unakubaliana na @el_mando_tz ???

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents