HabariMichezo

Sababu ya Mwakinyo kuvua viatu vyake na kumpa kijana,Esha Buheti afunguka A-Z(+Video)

Msanii wa Filamu na Mjasiriamali, Esha Buheti amefunguka sababu za Bondia Hassan Mwakinyo kuvua viatu vyake akiwa kwenye Mgahawa wake wa Chakula na kumpatia kijana mmoja aliyejitokeza kwa furaha baada ya kumuona staa huyo na kumuomba viatu huku akimpangusa miguu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents