Michezo

Arsenal wapiga hodi Real Madrid

Arsenal wamewasiliana na kiungo wa kati wa Real Madrid na Norway Martin Odegaard, 22. Hatahivyo, Odegaard anasemakana kuwa anakaribia kuhamia Sevilla kwa mkopo. (Sky Sports)

Report: Arsenal want Real Madrid's Odegaard on loan - Arseblog News - the  Arsenal news site

Arsenal wanatarajia kutoa ofa ya maelfu ya pauni kwa Smith

Arsenal wanatarajia kutoa ofa ya mkataba wa malipo ya pauni 40,000 kwa wiki kwa kiungo wa kati Muingereza Emile Smith Rowe, 20. (Mail)

Arsenal wanatarajia kutoa ofa ya maelfu ya pauni kwa Smith

Paris St-Germain wanapanga uhamisho wa ghafla kwa ajili ya kiungo wa kati-nyuma wa Manchester City na Uhispania Eric Garcia, 20. (Mundo Deportivo – in Spanish)Timu za England zataka kumtoa Jesse Lingard Manchester United

Timu za England zataka kumtoa Jesse Lingard (kushoto) Manchester United

Tottenham, West Ham na Sheffield United ni miongoni mwa klabu kadhaa ambazo zinataka kusaini mkataba na kiungo wa kati wa Manchester United na England Jesse Lingard, mwenye umri wa miaka 28 kwa mkopo . (Talksport)

Kiungo wa safi ya nyuma-kushoto wa Tottenham na England Danny Rose anawindwa na timu ya Uturuki ya Trabzonspor. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30- hatakuwa na mkataba na timu yoyote kwa mwishoni mwa msimu huu. (Mail)

Franc Lampard hatakiwi na Chelsea

Franc Lampard hatakiwi na Chelsea

Chelsea wangependelea zaidi kumbadilisha kocha wao anayekabiliwa na ukosoaji mkubwa Frank Lampard na kumuajiri meneja wa mpito katikati ya msimu . (Independent)

Lakini Lampard atafutwa kazi kama matokeo ya Chelsea hayataboreka haraka. (Sky Sports)Divock Origi ni miongoni mwa wachezaji wanaosakwa na Klabu ya Ujerumani

Divock Origi ni miongoni mwa wachezaji wanaosakwa na Klabu ya Ujerumani

Mchezaji w Leicester City Kelechi Iheanacho, 24, Divock Origi, 25 , wa Liverpool , na mshambuliaji wa Nice Kasper Dolberg, 23, wako katika orodha ya washambuliaji wanaosakwa na timu ya Ujerumani ya RB Leipzig. (Bild – via Leicester Mercury)

West Ham anajiandaa kutoa ofa mpya ya thamani ya takriban pauni milioni 32 kwa ajili ya mshambuliaji wa timu ya Morocco Sevilla Youssef En-Nesyri, 23. (Star)Fikayo Tomori amekamilisha mazungumzo na timu ya Italia

Fikayo Tomori amekamilisha mazungumzo na timu ya Italia

AC Milan wanakamilisha mkataba wao wa mkopo kwa ajili ya kiungo wa kati-nyuma wa Chelsea mwenye umri wa miaka 23 Fikayo Tomori. (Gazzetta dello Sport)

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents