HabariMichezo

Aziz Ki atambulishwa rasmi Yanga SC

Klabu ya Yanga imemtangaza rasmi Mshambuliaji wake mpya Aziz KI kutokea timu ya ASEC Mimosas.

Yanga mpaka sasa imefanya sajili kubwa za kumnasa mchezaji, Bigirimana, beki wa kushoto Mkongomani Lucy Lomalisa na Aziz Ki na hivyo yakitarajiwa makubwa katika michuano mbalimbali itakayoshiriki.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents