Mahojiano
Baba levo ashutumiwa na aliyekuwa msanii wake Oti, kumdhulumu mil 12 na kumtelekeza (+ Video)
Aliyekuwa msanii wa @officialbabalevo anayeitwa @oti_tz_ ameeleza alivyotapeliwa na Baba levo kiasi cha milioni 12 na kumbwaga.
Ameniharibia maisha yangu Rayvanny alitaka kunisaidia akamshambulia na maneno mtandaoni sijaongea na Diamond.