Burudani

Baba Levo chupuchupu aachwe uwanja wa ndege, Mwijaku aomba Diamond apigiwe Qatar (Video)

Msanii wa muziki @officialbabalevo chupuchupu ashindwe kusafiri kwenda Qatar na @wasafibetofficial_ baada ya kudaiwa kuonekana picha yake ya passport haifanani na sura yake ya sasa.

Hata hivyo jambo hili lilimalizwa na msanii huyo kufanikiwa kusafiri akiwa na mpinzani wake mkubwa @mwijaku .

Related Articles

Back to top button