Burudani

Basata wazungumza baada ya kufanya mazungumzo na Diamond (Video)

Baraza la Sanaa Taifa (Basata) limefanya mazungumzo na msanii wa muziki, Diamond Platnumz kuhusu video zake za faragha zilizosambaa mitandaoni kinyume na maadili Tanzania. Muimbaji huyo bado anachungumzwa na jeshi la polisi na akikutwa na hatia atapandishwa mahakamani.

Akiongea na Bongo5 Jumatano hii Katibu wa Basata, Godfrey Mngereza amesema baada ya kuzungumza na Diamond Jumatano hii amegundua sio kweli kwamba muimbaji huyo amelewa umaarufu kama baadhi watu wanavyodai katika mitandao ya kijamii.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents