Burudani

Ben Pol aweka wazi mahari aliyomtolea Anerlisa “Nimetoa mamia ya ng’ombe” – Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Ben Pol, wiki akiwa kwenye kipindi cha Leo Tena ya Clouds Fm, ameweka wazi mahari aliyomtolea mke wake mtarajiwa Anerlisa japo hakutaja mahari kamili lakini ametaja baadhi ya vitu vinavyotakiwa kutolewa kabla ya mahari yenyewe ikiwa ni pamoja na kibuyu cha asali pamoja na mamia ya ng’ombe   “Wale mila zao ukimpenda binti unaenda kwao kujitambulisha halafu unatoa kifungua mlango ng’ombe kadhaa ukifika ndio unaambiwa mambo ya mahari mimi nimetoa mamia ya ng’ombe.”

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents