
Kocha wa Simba SC, Benchikha ni miongoni mwa makocha watatu Bora Afrika ambao wapo kwenye Orodha ya kuwania tuzo hiyo kwa mwaka wa 2022/2023
Klaba ya kutua Msimbazi Kocha, Abdelhak Benchikha alikuwa katika timu ya USM Alger ambako amekuwa na mafanikio makubwa kwa kushinda Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga na Super Cup mbele ya Al Ahly.