Burudani

Beyonce aongoza kusaidia watu wa hali ya chini

Mtandao wa DoSomething.org umemtaja Beyonce kuwa ndio msanii anayeongoza kutoa mchango mkubwa kusaidia jamii za watu wasiojiweza kwa mwaka huu.

Muimbaji huyo ameshiriki kwenye mambo mengi ya kijamii kwa mwaka huu ikiwemo kupinga mauaji ya watu weusi nchini Marekani, amesaidia upatikanaji wa maji safi na salama huko Michigan wakati wa ziara yake ya Formation, usawa wa jinsia.

Lakini pia ameweza kusaidi kukusanya kiasi cha $82,000 kutatua matatizo hayo. Hawa ni wasanii wengine waliotajwa kuongoza kusaidia jamii kwa mwaka huu.

1. Beyoncé
2. Lin-Manuel Miranda
3. Taylor Swift
4. Demi Lovato
5. Shailene Woodley
6. John Cena
7. Miley Cyrus
8. Lady Gaga
9. Zendaya
10. Jesse Williams
11. Gina Rodriguez
12. Chance the Rapper
13. Tyler Oakley
14. Serena Williams
15. Yara Shahidi
16. Justin Bieber
17. Shawn Mendes
18. Misha Collins
19. Nyle DiMarco
20. Aziz Ansari

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents