Michezo

Welbeck kurejea uwanjani mwaka 2017

Kocha wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger amewataka mashabiki wasiwe na wasiwasi kuhusu mchezaji Danny Welbeck.

Tayari imeshapita miezi saba tangu apate majeraha akiwa uwanjani.

Taarifa kutoka katika uongozi wa timu hiyo kuwa Danny Welbeck kwa sasa yuko fiti na ataanza mazowezi na kikosi cha kwanza kitakacho kutana na Watford mechi itakayo chezwa tarehe ya kwanza ya mwaka 2017.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents