Mitindo

Namna ya kupendeza kwa bibi harusi kwenye ndoa ya kiislamu

Katika dunia ya sasa kila mtu anapenda kupendeza hususani kwenye sherehe za harusi hii ni kutokana na utandawazi hasa hasa mitandao ya kijamii.

Tokeo la picha la ndoa ya kiislamu

Leo tunaelezea namna ya bibi harusi wa ndoa ya kiislamu anavyoweza kutokelea kwenye sherehe.

Kwa kuangalia picha hizo unaweza kuona ni namna gani utapendaza katika harusi yako maana wengi huamini kujistiri siku ya harusi ni ngumu kwani lazima uonyeshe baadhi ya sehemu zako za mwili lakini warembo hao wameonyesha kuwa hapana. sio lazima.


Vile vile ukiwaangalia warembo hao utagundua unayo nafasi kubwa kumpa fundi wako nafasi ya kukutengenezea gauni zuri kabisa kabla ya harusi.


Pia unaweza kutembelea maduka yanaoyouza nguo mahususi za harusi hapo wataweza kutambua umbo lako pamoja na rangi itakayokupendeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents