Burudani

Big Brother Africa ya mwaka huu kujulikana kama ‘The Chase’

Reality show kubwa zaidi barani Afrika, Big Brother Africa inakuja na msimu wa nane ikiwa ikijulikana kama The Chase. Jumla ya washiriki 28 kutoka nchi 14 watakuwa wakichuana kuwania kitita cha dola 300, 000.

Big-Brother-Africa-Season-8-The-Chase1

Show hiyo itaanza rasmi Jumapili ya May 26. IK Osakioduwa anarejea tena kuhost ‘The Chase’.

‘We want to give audiences and loyal fans of the show, a truly unforgettable viewing experience once again. This season audiences can expect a show encompassing suspense, emotions, drama, fun, excitement and quite possibly, as we have seen in previous seasons, a little romance’, amesema mkurugenzi mtendaji wa M-Net Africa, Biola Alabi kwenye maelezo yake.

Tunasubiri kwa hamu kumjua mwakilishi wa Tanzania.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents