HabariMichezo

Bilionea Dewji azungumza na wachezaji wa Simba kabla ya mechin na Yanga

Bilionea na muwekezaji wa Klabu ya Simba, Mo Dewji hii leo amekutana na kuzungumza na wachezaji wa timu hiyo kuelekea mchezo wao wa Derby dhidi ya Yanga mechi ya Ngao ya Jamii.

Taarifa kutoka Simba zimesema kuwa “Rais wa heshima Mohammed Dewji leo amekutana na kuongea na wachezaji kuelekea mchezo wa kesho wa Ngao ya Jamii,”- Simba SC

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents