Fahamu

Bilionea Ginimbi alikuwa na joka linalotema pesa ? rafiki yake azungumza haya (+Video)

Kifo cha mzimbabwe aliyekuwa maarufu sana katika mitandao ya kijamii wa Zibabwe mwenye umri wa miaka 36 na mfanyabiashara , Genius Kadungure a al maarufu Ginimbi kilichotokea tarehe 8 November kimeibua utata miongoni mwa watu wengi huku watu katika mitanda ya kijamii wakijiuliza chanzo cha utajiri wake.

Baadhi ya watu wamediriki hata kusema kuwa alikuwa na nyoka ambaye alikuwa akimtemea pesa; lakini baadhi ya marafiki wa Ginimbi wamejitokeza na kueleza haya:-

 Video ipo chini hapa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents