Habari

Bobi Wine aiponda video ya Bebe Cool iliyofanywa na Godfather, asema haina tofauti na zinazofanywa Uganda

Wasanii wanapoamua kukwea pipa kwenda kufanya video sehemu kama Afrika Kusini au Nigeria kwa director mkubwa kama Godfather, matarajio ya wengi huwa ni kuona video yenye kiwango cha juu zaidi ya zile ambazo hufanyika nyumbani.

Msanii mkubwa wa Uganda,Bobi Wine ameiponda video ya msanii mwenzake Bebe Cool ambayo imefanyika Afrika Kusini na kuongozwa na director mkubwa wa Afrika Godfather.

Kwa mujibu wa mtandao wa Big Eye, Bobi Wine amesema kuwa video ya ‘ Everywhere I Go’ ina kiwango cha kawaida sawa na video zinazofanywa Uganda na kuwa haoni kitu cha tofauti. Aliongeza kuwa kama Bebe Cool alitumia mamilioni kugharamia video kama anavyodai basi atakuwa ameibiwa.

Hata hivyo maoni ya mashabiki kwenye channel ya Youtube ya Bebe Cool yanaonekana kutofautiana na Bobi Wine, sababu wengi wameonekana kuridhishwa na video hiyo.

Joseph Mukwano
You are nolonger a ugandan quality. We should actually be proud that u are ours otherwise gwe oli mu class za Rkelly. Akon etc

Jesse Aubrey
Actually, The lyrical content is perfect, the video quality is good but the video concept is a total disgrace to modern day music videos

mwanje paddy
this is so hot ilove the video ilove the lyrics ilove the audio ilove everything bebe cool u rock GMAU15 TEAM GAGAMEL PHAMILY lego

zzinga ddamulira
Great lyrics, great music, audio! Much respect Bebe Cool. Good video on the whole …save for the christmas lights concept!!!

Eric Tumwine
Its a gd song wiz gd video bt am still obsessed wiz love u everyday..thanx Bebe cool, keep it up and continue leading others .

Maggie Nakitende
nop,,, disappointed,,, doesnt match the hype it got

runak2
Video is so clear neat work … This is what we want to view thank you XXXL bawa Zuena

Hart Hartie
good job God father productions. Good song Big size n video is lovely 🙂 keep it up

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents