Burudani

Bow Wow asimulia P-Diddy alivyomrudisha katika muziki

Msanii wa muziki kutoka Marekani, Bow Wow amedai kuwa rapper P-Diddy alitaka arudi kwenye game ya muziki kwani anaweza.

Bow Wow amesema hayo wakati alipokuwa akifanyiwa mahojiano na kituo cha Hot 97 hivi karibuni baada ya kuachia ngoma yake ya ‘Yeahh’.

“I remember, probably after I left y’all, I went to L.A., it was me and Puff. I went to Puff’s house,ameeleza msanii huo pia akaongeza “Look at me, bro. You a f—ing legend, bro. Cut the bullsh– out, I see you pumping the brand — I don’t wanna see sh—else,” amesemimulia msanii huyo aliyoambiwa na P-Didy alipofika nyumbani kwake.

Kabla ya kuachia ngoma ya ‘Yeahh’ msanii huyo alieyeanza muziki tokea utotoni alitangaza kustaafu muziki mwaka 2016.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents