Burudani

Breaking Dawn – Part 2 yaongoza Box Office kwa kuingiza dola milioni 141.3

Robert Pattinson katika uzinduzi wa ‘The Twilight Saga : Breaking Dawn Part 2’ jijini Berlin, Ujerumani.

Filamu ya Breaking Dawn — Part 2 imeingiza dola milioni 141.3 katika majumba ya kuoneshea sinema nchini Marekani.

Filamu ya James Bond, Skyfall, imeingiza dola milioni 41.5 katika wiki yake ya pili na hivyo kufikisha dola milioni 161.34 tangu itoke.

Filamu zingine mpya zilizofanya vizuri wiki hii ni pamoja na Lincoln iliyoingiza dola milioni 21, Wreck-It Ralph dola milioni 18.3 na filamu ya Denzel Washington, Flight imeingiza dola 8,615,000 na kushika nafasi ya tano.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents